MwanzoBTC / KRW • Sarafu ya dijitali
add
Bitcoin (BTC / KRW)
Bei iliyotangulia
93,831,789.95
Kwenye habari
Kwenye habari
Habari kuhusu Fedha za kidijitali
Kwenye habari
Kulingana na takwimu
Kuhusu Bitcoin
Sarafu ya Bit ni mfumo wa malipo dijitali ambao unatumiwa na mamilioni ya watu bila msimamizi wa juu kama Benki Kuu ilivyo katika nchi mbalimbali. Sarafu hiyo huweza kutumika kwa kubadilishana na sarafu nyingine, bidhaa au huduma.
Sarafu ya Bit ilianzishwa na mtu asiyejulikana au kikundi cha watu chini ya jina la Satoshi Nakamoto na kutolewa kama programu huria mwaka 2009. Kuanzia Februari 2015, wafanyabiashara zaidi ya 100,000 wanakubali Sarafu ya Bit kama malipo.
Kwa mujibu wa utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge wa mwaka 2017, kuna watu kati ya milioni 2.9 hadi 5.8 wanaotumia malipo dijitali na wengi wao wanatumia sarafu ya bit.
Mara nyingi sarafu ya bit inaitwa "pesa ya dijitali" lakini wataalamu wengi huiona si pesa bali bidhaa ya bahatisho. Paul Krugmann pamoja na wapokeaji wengine wa Tuzo ya Nobel ya Elimu ya Uchumi aliita udanganyifu akiilinganisha na bahatisho la vitunguu vya maua ya tulip huko Uholanzi katika karne ya 17. WikipediaKuhusu Won ya Korea Kusini
The South Korean won is the official currency of South Korea. A single won is divided into 100 jeon, the monetary subunit. The jeon is no longer used for everyday transactions, and it appears only in foreign exchange rates. The currency is issued by the Bank of Korea, based in the capital city of Seoul. Wikipedia