MwanzoBTC / LKR • Sarafu ya dijitali
Bitcoin (BTC / LKR)
26,140,861.97
15 Nov, 16:26:55 UTC · Kanusho
Viwango vya Ubadilishaji SarafuSarafu ya dijitali
Bei iliyotangulia
25,493,005.05
Sarafu ya Bit ni mfumo wa malipo dijitali ambao unatumiwa na mamilioni ya watu bila msimamizi wa juu kama Benki Kuu ilivyo katika nchi mbalimbali. Sarafu hiyo huweza kutumika kwa kubadilishana na sarafu nyingine, bidhaa au huduma. Sarafu ya Bit ilianzishwa na mtu asiyejulikana au kikundi cha watu chini ya jina la Satoshi Nakamoto na kutolewa kama programu huria mwaka 2009. Kuanzia Februari 2015, wafanyabiashara zaidi ya 100,000 wanakubali Sarafu ya Bit kama malipo. Kwa mujibu wa utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge wa mwaka 2017, kuna watu kati ya milioni 2.9 hadi 5.8 wanaotumia malipo dijitali na wengi wao wanatumia sarafu ya bit. Mara nyingi sarafu ya bit inaitwa "pesa ya dijitali" lakini wataalamu wengi huiona si pesa bali bidhaa ya bahatisho. Paul Krugmann pamoja na wapokeaji wengine wa Tuzo ya Nobel ya Elimu ya Uchumi aliita udanganyifu akiilinganisha na bahatisho la vitunguu vya maua ya tulip huko Uholanzi katika karne ya 17. Wikipedia
The Sri Lankan Rupee is the currency of Sri Lanka. It is subdivided into 100 cents, but cents are rarely seen in circulation due to its low value. It is issued by the Central Bank of Sri Lanka. The abbreviation Re and Rs is generally used, the World Bank suggests SL Rs as a fully disambiguating abbreviation for distinction from other currencies named "rupee". Wikipedia
Gundua zaidi
Huenda unavutiwa na
Orodha hii imetokana na maudhui uliyotafuta hivi majuzi, hisa unazofuatilia na shughuli zingine. Pata maelezo zaidi

Data na maelezo yote hutolewa “kama yalivyo” kwa madhumuni ya taarifa binafsi tu, wala hayanuii kuwa ushauri wa kifedha na hayana madhumuni ya kufanya biashara au uwekezaji, kodi, kisheria, uhasibu au ushauri mwingine. Google si mshauri wa uwekezaji wala mshauri wa kifedha na haitoi maoni au mapendekezo yanayohusiana na kampuni zozote zilizojumuishwa kwenye orodha hii au hisa zozote zilizotolewa na kampuni hizo. Tafadhali wasiliana na dalali wako au mwakilishi wa kifedha ili uthibitishe bei kabla ya kufanya biashara yoyote. Pata maelezo zaidi
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu