MwanzoBTC / SZL • Sarafu ya dijitali
add
Bitcoin (BTC / SZL)
Bei iliyotangulia
1,237,520.88
Habari kuhusu Donald Trump
Habari kuhusu Seneta wa Marekani
Habari kuhusu Fedha za kidijitali
Kwenye habari
Kwenye habari
Kulingana na takwimu
Kuhusu Bitcoin
Sarafu ya Bit ni mfumo wa malipo dijitali ambao unatumiwa na mamilioni ya watu bila msimamizi wa juu kama Benki Kuu ilivyo katika nchi mbalimbali. Sarafu hiyo huweza kutumika kwa kubadilishana na sarafu nyingine, bidhaa au huduma.
Sarafu ya Bit ilianzishwa na mtu asiyejulikana au kikundi cha watu chini ya jina la Satoshi Nakamoto na kutolewa kama programu huria mwaka 2009. Kuanzia Februari 2015, wafanyabiashara zaidi ya 100,000 wanakubali Sarafu ya Bit kama malipo.
Kwa mujibu wa utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge wa mwaka 2017, kuna watu kati ya milioni 2.9 hadi 5.8 wanaotumia malipo dijitali na wengi wao wanatumia sarafu ya bit.
Mara nyingi sarafu ya bit inaitwa "pesa ya dijitali" lakini wataalamu wengi huiona si pesa bali bidhaa ya bahatisho. Paul Krugmann pamoja na wapokeaji wengine wa Tuzo ya Nobel ya Elimu ya Uchumi aliita udanganyifu akiilinganisha na bahatisho la vitunguu vya maua ya tulip huko Uholanzi katika karne ya 17. WikipediaKuhusu Lilangeni ya Uswazi
The lilangeni is the currency of Eswatini and is subdivided into 100 cents. It is issued by the Central Bank of Eswatini and is authorised by the king and his family. The South African rand is also accepted in Eswatini. Similar to the Lesotho loti, there are singular and plural abbreviations, namely L and E, so where one might have an amount L1, it would be E2, E3, or E4. Wikipedia