MwanzoCNY / KES • Sarafu
CNY / KES
17.7904
12 Jul, 13:25:00 UTC · Kanusho
Viwango vya Ubadilishaji Sarafu
Bei iliyotangulia
17.78
Habari za soko
The renminbi is the official currency of the People's Republic of China. It is the world's fifth most traded currency as of April 2022. The yuan is the basic unit of the renminbi. One yuan is divided into 10 jiao, and the jiao is further subdivided into 10 fen. The renminbi is issued by the People's Bank of China, the monetary authority of China. The word yuan is widely used to refer to the Chinese currency generally, especially in international contexts. Wikipedia
Shilingi ya Kenya ni fedha za Kenya. Shilingi moja imegawanywa kwenye senti mia moja. Shilingi ya Kenya ilianzishwa mwaka 1966 baada ya kuvunjwa kwa bodi ya fedha ya Afrika ya Mashariki iliyosimamia fedha ya pamoja ya Kenya, Tanzania na Uganda iliyoitwa East African Shilling iliyotumiwa katika maeneo yote yaliyokuwa chini ya Uingereza katika Afrika ya Mashariki. Kuna sarafu za shilingi 1, 5, 10, 20 na 40. Sarafu za senti zipo za zamani za senti 1, 5, 10, 20 na 50 lakini hazinunui kitu tena. Noti zilitolewa za shilingi 5, 10, 20, 50, 100, 200, 500 na 1000 ingawaje noti za shilingi 5, 10 na 20 ni nadra sana kuonekana. Shilingi 1 = Senti 100 Majina ya zamani: Thumuni 1 = Senti 50 Peni 1 = Senti 10 Ndururu 1 = Senti 5 Wikipedia
Gundua zaidi
Huenda unavutiwa na
Orodha hii imetokana na maudhui uliyotafuta hivi majuzi, hisa unazofuatilia na shughuli zingine. Pata maelezo zaidi

Data na maelezo yote hutolewa “kama yalivyo” kwa madhumuni ya taarifa binafsi tu, wala hayanuii kuwa ushauri wa kifedha na hayana madhumuni ya kufanya biashara au uwekezaji, kodi, kisheria, uhasibu au ushauri mwingine. Google si mshauri wa uwekezaji wala mshauri wa kifedha na haitoi maoni au mapendekezo yanayohusiana na kampuni zozote zilizojumuishwa kwenye orodha hii au hisa zozote zilizotolewa na kampuni hizo. Tafadhali wasiliana na dalali wako au mwakilishi wa kifedha ili uthibitishe bei kabla ya kufanya biashara yoyote. Pata maelezo zaidi
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu