MwanzoEUR / KWD • Sarafu
add
EUR / KWD
Bei iliyotangulia
0.33
Habari za soko
Kuhusu Yuro
Euro ni sarafu ya pamoja katika baadhi ya nchi za Ulaya. Wakazi wake 350,000,000 wanatumia kwa kawaida pesa hiyo. Watu wengine 210,000,000 wanatumia pesa zilizoungwa na euro, hasa barani Afrika.
Tangu mwaka 2002 nchi 13 za EU zilifuta sarafu ya kitaifa ili kutumia Euro tu. Siku hizi ni 20.
Euro moja imegawanyika katika senti 100.
Kuna benknoti za € 5, € 10, € 20, € 50, € 100, € 200, € 500.
Kuna sarafu za metali 8 za € 0,01, € 0,02, € 0,05, € 0,10, € 0,20, € 0,50, € 1, € 2.
Pesa ya karatasi inatolewa na benki kuu ya Ulaya na ni sawa kote.
Sarafu zinatolewa na nchi wanachama na zinatofautiana upande mmoja, lakini sarafu zote hutumika kote. WikipediaKuhusu Dinari ya Kuwait
The Kuwaiti dinar is the currency of Kuwait. It is sub-divided into 1,000 fulūs.
As of 2023, the Kuwaiti dinar is the currency with the highest value per base unit, with KD 1 equalling US$3.26, ahead of the Bahraini dinar with BD 1 equalling US$2.65 and Omani rial at US$2.60. Wikipedia