MwanzoEUR / TND • Sarafu
add
EUR / TND
Bei iliyotangulia
3.40
Habari za soko
Kuhusu Yuro
Euro ni sarafu ya pamoja katika baadhi ya nchi za Ulaya. Wakazi wake 350,000,000 wanatumia kwa kawaida pesa hiyo. Watu wengine 210,000,000 wanatumia pesa zilizoungwa na euro, hasa barani Afrika.
Tangu mwaka 2002 nchi 13 za EU zilifuta sarafu ya kitaifa ili kutumia Euro tu. Siku hizi ni 20.
Euro moja imegawanyika katika senti 100.
Kuna benknoti za € 5, € 10, € 20, € 50, € 100, € 200, € 500.
Kuna sarafu za metali 8 za € 0,01, € 0,02, € 0,05, € 0,10, € 0,20, € 0,50, € 1, € 2.
Pesa ya karatasi inatolewa na benki kuu ya Ulaya na ni sawa kote.
Sarafu zinatolewa na nchi wanachama na zinatofautiana upande mmoja, lakini sarafu zote hutumika kote. WikipediaKuhusu Dinari ya Tunisia
The dinar is the national currency of Tunisia. It is subdivided into 1000 milim or millimes. The abbreviation DT is often used in Tunisia, although writing "dinar" after the amount is also acceptable; the abbreviation TD is also mentioned in a few places, but is less frequently used, given the common use of the French language in Tunisia, and the French derivation of DT. Wikipedia