MwanzoJPY / MMK • Sarafu
add
JPY / MMK
Bei iliyotangulia
20.64
Habari za soko
Kuhusu Yen ya Japani
Yen ni pesa nchini Japani. Alama yake ya kimataifa ni ¥ lakini Japani penyewe huandikwa 円. Yen imekuwa pesa inayotumiwa sana duniani baada ya dolar na euro.
Pesa hii ilianzishwa mwaka 1871 na serikali ya Meiji ikifuata mifano ya pesa za Ulaya. Mwanzoni ililinganishwa na gramu 1.5 za dhahabu.
Thamani ya pesa ilishuka wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia na baada ya vita kiwango chake kwa dollar ya Marekani kiliweka kwa ¥360 kwa US$1. Mwaka 2008 ilikuwa ¥104 kwa US$1.
Tangu kuimarika kwa uchumi wa Japani Yen imekuwa pesa muhimu duniani.
Kuna noti za Yen 1,000, 2,000, 5,000 na 10,000. WikipediaKuhusu Kyat ya Myanmar
The kyat is the currency of Myanmar. The typical notation for the kyat is "K" and "Ks.", placed before the numerals followed by "/-". Amounts less than K. 1/- are typically denoted with the number of pyas following "-/".
The term kyat derives from the Burmese unit kyattha, equal to 16.3 grams of silver. Wikipedia