MwanzoJPY / XCD • Sarafu
JPY / XCD
0.0182
1 Ago, 01:33:00 UTC · Kanusho
Viwango vya Ubadilishaji Sarafu
Bei iliyotangulia
0.018
Habari za soko
Yen ni pesa nchini Japani. Alama yake ya kimataifa ni ¥ lakini Japani penyewe huandikwa 円. Yen imekuwa pesa inayotumiwa sana duniani baada ya dolar na euro. Pesa hii ilianzishwa mwaka 1871 na serikali ya Meiji ikifuata mifano ya pesa za Ulaya. Mwanzoni ililinganishwa na gramu 1.5 za dhahabu. Thamani ya pesa ilishuka wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia na baada ya vita kiwango chake kwa dollar ya Marekani kiliweka kwa ¥360 kwa US$1. Mwaka 2008 ilikuwa ¥104 kwa US$1. Tangu kuimarika kwa uchumi wa Japani Yen imekuwa pesa muhimu duniani. Kuna noti za Yen 1,000, 2,000, 5,000 na 10,000. Wikipedia
The Eastern Caribbean dollar is the currency of all seven full members and one associate member of the Organisation of Eastern Caribbean States. The successor to the British West Indies dollar, it has existed since 1965, and it is normally abbreviated with the dollar sign $ or, alternatively, EC$ to distinguish it from other dollar-denominated currencies. The EC$ is subdivided into 100 cents. It has been pegged to the United States dollar since 7 July 1976, at the exchange rate of US$1 = EC$2.70. Wikipedia
Gundua zaidi
Huenda unavutiwa na
Orodha hii imetokana na maudhui uliyotafuta hivi majuzi, hisa unazofuatilia na shughuli zingine. Pata maelezo zaidi

Data na maelezo yote hutolewa “kama yalivyo” kwa madhumuni ya taarifa binafsi tu, wala hayanuii kuwa ushauri wa kifedha na hayana madhumuni ya kufanya biashara au uwekezaji, kodi, kisheria, uhasibu au ushauri mwingine. Google si mshauri wa uwekezaji wala mshauri wa kifedha na haitoi maoni au mapendekezo yanayohusiana na kampuni zozote zilizojumuishwa kwenye orodha hii au hisa zozote zilizotolewa na kampuni hizo. Tafadhali wasiliana na dalali wako au mwakilishi wa kifedha ili uthibitishe bei kabla ya kufanya biashara yoyote. Pata maelezo zaidi
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu