MwanzoUSD / KGS • Sarafu
add
USD / KGS
Bei iliyotangulia
85.80
Habari za soko
Kuhusu Dola ya Marekani
Dolar ya Marekani ni pesa halali ya Marekani. Alama yake ni $.
Dolar ya Marekani inapatikana kwa noti za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia sarafu ya dola 1.
Dolar moja ina senti 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za nusu dolar, robo dolar na sarafu za senti 10, 5 na 1.
Hadi mwaka 1969 noti ya dolar ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu dhahabu kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.
Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dolar ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa uchumi na thamani ya bidhaa zilizopo nchini Tanzania.
Tangu mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia dolar ya Marekani imekuwa pesa kuu duniani na sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa hukadiriwa kwa dolar hizo. Lakini tangu kupatikana kwa Euro mwaka 1999 umuhimu wa dolar ya Marekani imeanza kupungua polepole. Hata hivyo nchi mbalimbali zimeachana na sarafu zao na kuamua kutumia dolar ya Marekani tu, k.mf. El Salvador. WikipediaKuhusu Som ya Kyrgystan
The som is the currency of Kyrgyzstan. It was introduced in May 1993 to replace the Soviet ruble after the dissolution of the Soviet Union. It is subdivided into 100 tıyın. Initially, only banknotes were issued, but coins were introduced in 2008. The currency features denominations ranging from 1 tıyın to 5000 som.
The National Bank of the Kyrgyz Republic oversees its issuance, and various commemorative coins have been released to celebrate cultural and historical events. The banknotes display notable Kyrgyz historical figures and symbols, with periodic updates to enhance security features such as watermarks, holograms, and microprinting. Over time, higher denomination notes have been introduced to manage inflation. Wikipedia