MwanzoUSD / MWK • Sarafu
add
USD / MWK
Bei iliyotangulia
1,731.84
Habari za soko
Kuhusu Dola ya Marekani
Dolar ya Marekani ni pesa halali ya Marekani. Alama yake ni $.
Dolar ya Marekani inapatikana kwa noti za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia sarafu ya dola 1.
Dolar moja ina senti 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za nusu dolar, robo dolar na sarafu za senti 10, 5 na 1.
Hadi mwaka 1969 noti ya dolar ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu dhahabu kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.
Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dolar ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa uchumi na thamani ya bidhaa zilizopo nchini Tanzania.
Tangu mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia dolar ya Marekani imekuwa pesa kuu duniani na sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa hukadiriwa kwa dolar hizo. Lakini tangu kupatikana kwa Euro mwaka 1999 umuhimu wa dolar ya Marekani imeanza kupungua polepole. Hata hivyo nchi mbalimbali zimeachana na sarafu zao na kuamua kutumia dolar ya Marekani tu, k.mf. El Salvador. WikipediaKuhusu Kwacha ya Malawi
The kwacha is the currency of Malawi as of 1971, replacing the Malawian pound. It is divided into 100 tambala. The kwacha replaced other types of currency, namely the British pound sterling, the South African rand, and the Rhodesian dollar, that had previously circulated through the Malawian economy. The exchange rate of the kwacha undergoes fixed periodical adjustments, but since 1994 the exchange rate has floated. In 2005, administrative measures were put in place by Bingu wa Mutharika to peg the exchange rate with other currencies. Banknotes are issued by the Reserve Bank of Malawi. In May 2012, the Reserve Bank of Malawi devalued the kwacha by 34% and unpegged it from the United States dollar.
The currency was further devalued by 25% by the central bank in May 2022 followed by another 44% devaluation in November 2023 raising inflation rate in Malawi. Wikipedia