MwanzoUSD / PHP • Sarafu
add
USD / PHP
Bei iliyotangulia
58.27
Habari za soko
Kuhusu Dola ya Marekani
Dolar ya Marekani ni pesa halali ya Marekani. Alama yake ni $.
Dolar ya Marekani inapatikana kwa noti za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia sarafu ya dola 1.
Dolar moja ina senti 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za nusu dolar, robo dolar na sarafu za senti 10, 5 na 1.
Hadi mwaka 1969 noti ya dolar ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu dhahabu kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.
Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dolar ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa uchumi na thamani ya bidhaa zilizopo nchini Tanzania.
Tangu mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia dolar ya Marekani imekuwa pesa kuu duniani na sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa hukadiriwa kwa dolar hizo. Lakini tangu kupatikana kwa Euro mwaka 1999 umuhimu wa dolar ya Marekani imeanza kupungua polepole. Hata hivyo nchi mbalimbali zimeachana na sarafu zao na kuamua kutumia dolar ya Marekani tu, k.mf. El Salvador. WikipediaKuhusu Peso ya Ufilipino
The Philippine peso, also referred to by its Filipino name piso, is the official currency of the Philippines. It is subdivided into 100 sentimo, also called centavos.
The peso has the symbol "₱", introduced during American rule in place of the original peso sign "$" used throughout Spanish America. Alternative symbols used are "PHP", "PhP", "Php", or just "P".
The monetary policy of the Philippines is conducted by the Bangko Sentral ng Pilipinas, established on January 3, 1949, as its central bank. It produces the country's banknotes and coins at its Security Plant Complex, which is set to move to New Clark City in Capas, Tarlac. Wikipedia