MwanzoUSD / RUB • Sarafu
add
USD / RUB
Bei iliyotangulia
85.66
Kuhusu Dola ya Marekani
Dolar ya Marekani ni pesa halali ya Marekani. Alama yake ni $.
Dolar ya Marekani inapatikana kwa noti za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia sarafu ya dola 1.
Dolar moja ina senti 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za nusu dolar, robo dolar na sarafu za senti 10, 5 na 1.
Hadi mwaka 1969 noti ya dolar ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu dhahabu kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.
Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dolar ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa uchumi na thamani ya bidhaa zilizopo nchini Tanzania.
Tangu mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia dolar ya Marekani imekuwa pesa kuu duniani na sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa hukadiriwa kwa dolar hizo. Lakini tangu kupatikana kwa Euro mwaka 1999 umuhimu wa dolar ya Marekani imeanza kupungua polepole. Hata hivyo nchi mbalimbali zimeachana na sarafu zao na kuamua kutumia dolar ya Marekani tu, k.mf. El Salvador. WikipediaKuhusu Ruble ya Urusi
The ruble or rouble is the currency of the Russian Federation. The ruble is subdivided into 100 kopecks. It is used in Russia as well as in the parts of Ukraine under Russian military occupation and in Russian-occupied parts of Georgia.
The ruble was the currency of the Russian Empire and of the Soviet Union. In 1992, the currency imagery underwent a redesign as a result of the fall of the Soviet Union. The first Russian ruble replaced the Soviet ruble in September 1993 at par.
On 1 January 1998, preceding the Russian financial crisis, the ruble was redenominated with the new code "RUB" and was exchanged at the rate of 1 RUB = 1,000 RUR. Wikipedia