MwanzoUSD / XPF • Sarafu
add
USD / XPF
Bei iliyotangulia
109.69
Habari za soko
Kuhusu Dola ya Marekani
Dolar ya Marekani ni pesa halali ya Marekani. Alama yake ni $.
Dolar ya Marekani inapatikana kwa noti za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia sarafu ya dola 1.
Dolar moja ina senti 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za nusu dolar, robo dolar na sarafu za senti 10, 5 na 1.
Hadi mwaka 1969 noti ya dolar ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu dhahabu kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.
Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dolar ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa uchumi na thamani ya bidhaa zilizopo nchini Tanzania.
Tangu mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia dolar ya Marekani imekuwa pesa kuu duniani na sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa hukadiriwa kwa dolar hizo. Lakini tangu kupatikana kwa Euro mwaka 1999 umuhimu wa dolar ya Marekani imeanza kupungua polepole. Hata hivyo nchi mbalimbali zimeachana na sarafu zao na kuamua kutumia dolar ya Marekani tu, k.mf. El Salvador. WikipediaKuhusu Faranga ya CFP
The CFP franc is the currency used in the French overseas collectivities of French Polynesia, New Caledonia, and Wallis and Futuna. The initials CFP originally stood for colonies françaises du Pacifique but since 2022 is officially Collectivités françaises du Pacifique. Its ISO 4217 currency code is XPF. The CFP franc is subdivided into 100 centimes, although there are no centime denominations. The currency is issued by Institut d'émission d'outre-mer. Wikipedia