Mipangilio ya Akaunti ya Google

Unaweza kuchagua Zana za Kuingiza Data au ubadilishe mipangilio yake katika Mipangilio ya Akaunti yako ya Google. Usanidi wako utatumika katika bidhaa zote za Google.

Ili ubadilishe Zana za Kuingiza Data katika Mipangilio ya Akaunti ya Google, fuata hatua hizi:

  1. Nenda kwenye "Lugha" → "Zana za Kuingiza Data" → "Badilisha".
  2. Katika kidadisi kinachotokea cha "Mipangilio ya Zana za Kuingiza Data", chagua zana ya kuingiza data ambayo ungependa kutumia.
  3. Badilisha mipangilio yako na ubofye "Hifadhi".

Kwa sasa, tunatoa mipangilio mitatu: