YouTube

Kulingana na lugha uliyochagua ya Kiolesura cha Youtube, kibodi pepe inaweza kuonyeshwa kwenye kisanduku cha kutafutia katika Youtube.

Ili ubadilishe lugha ya kiolesura cha YouTube, nenda hadi mwisho wa ukurasa wa mwanzo wa YouTube.

Unukuzi wa mfumo wa kuandika wa lugha kadhaa za Kihindi unapatikana kwa wasanidi video. Ikoni ya अ iliyo karibu na ikoni ya faragha inawakilisha tafsiri kwa mfumo tofauti wa alfabeti. Bofya ikoni ili utumie unukuzi wa mfumo wa kuandika.

Pata maelezo ya jinsi ya kutumia zana maalum za kuingiza data: